
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe amefunguka kuwa ndani ya chama chake (ACT) kuna watu wengi wakiwemo wanachama wa kutosha akimaanisha hajabaki mwenyewe.Zitto amefunguka hayo akimjibu mfuasi wake wa kwenye mtandao wa kijamii ambaye alitoa maoni yake kwa kumuuliza Mh. Kabwe haoni kama amebaki peke yake, ikiwa ni muda mfupi baada ya aliyekuwa Mgombea urais wa chama chake Anna Mghwira kujiunga na CCM huko Dodoma.Akimjibu mfuasi...